BREAKING NEWS VIFO VYAZIDI KUONGEZEKA 21 WAFARIKI

1


MWENDELEZO: Idadi ya watu waliofariki katika ajali iliyotokea Wilayani Mkuranga, Mkoani Pwani leo asubuhi imeongezeka kutoka 18 na kufikia watu 21

Ajali hiyo imehusisha basi dogo la abiria (Coaster) lililokuwa likitokea mikoa ya Kusini kwenda Dar, lililogongana na Lori lililokuwa linatoka Kimanzichana

1 Comment
  1. KIBAJAJI TV says

    R.I.P

Leave A Reply

Your email address will not be published.